Wednesday, December 29, 2010

Kuna watu wanaamini mpaka leo mkali huyu wa hip hop yungali hai

1 comment:

  1. Kuna kila sababu inayofanya mkali huyu wa hip hop aendelee kuishi mioyoni mwa wapenda hip hop kote duniani,ataendelea kuishi hivyo kutokana na kila alichokiaongelea na ambacho anaendelea kukisisitiza katika nyimbo zake mbalimbali zinazihamasisha kupigania haki ya mtu mweusi na ubaguzi,ingawa majivu yake yalimwaga pembeni mwa bahari Jijini los Angeles jamaa bado nyimbo zake na video zake ziko bomba kama vile yuko hai, kama vipi icheki filamu yake Ressurection

    ReplyDelete