Saturday, January 1, 2011

Morogoro mji kasoro bahari

Moja ya vivutio navyofurahia kuviona wakati naenda mikoa ya Dodoma, Mwanza ni Mji wa Morogoro Ikiwemo na stendi kuu ambayo imepambwa na bustani Nzuri kuitazama kwa kweli mji huu unavutia sana la muhimu linalohitajika ni kuboresha mazingira  ya stendi yenyewe hususani kuwepo na mpangilio wa utupaji taka angalau dastini kwa kila  eneo la stendi hiyo ili iweze kuvutia zaidi.
  Kweli Morogoro mji unaovutia  kasoro  bahari tu

No comments:

Post a Comment