Saturday, April 2, 2011

JAMANI CRDB MTATUUWA NA PRESHA

kilichonitokea leo kidogo nipate presha ya ujanani mana mara baada ya kutoka kazini nikapanga nikacheki malaria so nikapita maeneo ya milimani city kutoa mzigo,wakati naelekea kwenye Atm mana namtindo wa kucheki balansi then natoa mzigo duh ile kuuliza salio balance O kiasi unachoweza kutoa 0 sikuamini akili ikanipotea kwanza nikawaza dah nani katoa pesa zote hizo, nikafikiria mambo mengi namba ya siri ninayo mwenyewe sikuiandika mahala sikuamini nikatoka nikaelekea millenium tower huko nako dah O balnsi so nikachangabnyikiwa zaidiikabidi niingie ndani bahati nikamkuta mfanyakazi moja nikamueleza tukio zima,akaniambia et nili request salio la kadi si akaunti akanichanganya kabisa,so akaniambie hebu rudi kwenye Atm request min statement kweli bwana nikafanya hivyo mzigo nikakuta upo shwari dah mana pia nilikuta wananchi wengine wakilalamikia tatizo hilo
Hivi hizi Atm za CRDB vipi mana kwa mfano tawi la millenium tower huko unaweza kwenda ukakuta hola Atm zote nne dah.
CRDB bank kubwa boresheni huduma zenu bwana nyi ndio wajanja au sio mana kutoka na halihiyompesa ni muhimu sana .

No comments:

Post a Comment