Mnamo tarehe 14 february ya siku ya wapendanao nilipata kusoma gazeti moja la kila siku Ijumaa ,nilisikitishwa na habari moja ambayo mwandishi alieleza jinsi mwanadada mmoja anafanya biashara ya kujiuza alivyobakwa na wamasai idadi yao haijulikani.
Mwandishi huyo kwa mujibu wa taarifa zake alisema kuwa mwanadada huyo alibakwa mara alipokutwa na wamasai hao akijisafisha karibu na lindo lao eneo la klabu maarufu ya Ambiance ,inaendelea mara baada ya kumbaka walimtupa mtaroni na kuokotwa na wasamaria wema,kitendo alichofanyiwa huyo dada nicha ukaitili licha ya kuwa anafanya biashara haramu ya mwili wake hakustahili kufanyiwa aliyofanyiwa kwa mujibu wa mwandishi huyo dada huyo alishindwa kuripoti swala hilo kwa kuwa tu alihofia kwasababu anafanya biashara haramu.
Maoni yangu swala kama hilo ningependa TAMWA wafuatilie kupitia huyo mwandishi wabaini nini kilichotokea na hata watuhumiwa wachukuliwe hatua,huo ni uzalilishaji wa kijinsia.

No comments:
Post a Comment