Jamaa anayetokea katika viunga vya Long Beach California ilipokuwa kambi ya Death Row Record ,jamaa anajulikana kwa jina la Athaniel Hale a.k.a Nate Dogg amefariki kutokana na matatizo ya kiafya,mara nyingi Nate Dogg alijulikana kutokana na sauti yake nzito ya kiitikio,nyimbo kama Regulate ilitamba sana miaka ya tisini wakati aliposhirikiana na Warren G na kumbuka mara nyingi jamaa alikuwa pamoja na Tupac na concert nyingi za Tupac kipindi kile cha vita ya mashairi, kati ya pwani ya mashariki(East Coast)na pwani ya magharibi(West COast) alikuwemo kwenye concert kali sana na ya mwisho ya Tupac iliyofanyika Los Angeles katika Club ya The House Of Blues.
Mshikaji pia alikuwa rafiki sana wa Snoop Dogg tangia miaka ya 1990,s ila dah ndiyo hivyo. RIP Nate
No comments:
Post a Comment