Jamaa anajulikana kwa jina la utani kama Bandito au Mac Mcq, huyu ndio Steve Mcqueen nilipata kuziona filamu zake zilizotamba miaka ya 1960's filamu kama The Cincinnati Kidna nyingine maarufu ya The Great Exscape kuna tukio moja katika filamu ya The Great Escape wakati anawatoroka manazi wa kijerumani anaoenkana akiruka kwenye uzio wa senyenge tukio hilo lilifanywa na stunt Bud Ekins.
Matukio mengi tunayoyaona katika filamu hasa matukio kama kuruka katika moto na pikipiki, kuruka majengo marefu yanafanywa na watu maalum wa kazi hizo hao ndio Ma Stunt man wanalipwa kwa kazi hiyo vpi hapa bongo katika filamu zetu wapo watu wa aina hiyo? hii ni changa moto tu kwani moja ya matukio yanayosisimua katika filamu ndiyokama hayo kuruka magorofa,kukimbia na pikipiki n.k
Steve Mcqueen alifariki mwaka 1980 huko Mesothelioma jamaa namkumbuka sana katika filamu ya The Great Exscape na plan zake za kutoroka katika jela bila mafanikio.
Huyo ndiyo Steve Mcqueen au Bandito
No comments:
Post a Comment