Friday, April 1, 2011

Hemed ndani ya movie Hot Friday

Jamaa alianza kujulikana mara baada ya kufanya vizuri katika project fame ila kwa sasa ni mkali wa filamu za kibongo Tanzania amecheza filamu mbalimbali kama Wrong number,Zinduna na nyinginezo lakini leo ntamzungumzia katika filamu aliyocheza kupitia kampuni ya Rj Company nayo ni Hot Friday katika filamu hii Hemed anachaeza kama Oswadi kijana ambaye akiwa chuoni anaingia katika penzi na mwanadada Monica Malaki anyecheza kama Getrude filamu hii Hemed amecheza kwa hisia kali sana na hilo linajionyesha pale anapochukua uamuzi wa kufanya mauaji mara baada ya kugundua penzi lake limeingiliwa na predeshee Kasim tajiri anayetumia uwezo wake kifedha kumrubuni mwanadada Getrude na kuharibu penzi la Oswadi na Getrude mwisho wa yote Oswad anaamua kumua predeshee KAsim na Getrude haishii hapo kwani anajimaliza mwenyewe pia huku akirekodi tukio hilo katika video camera, Baada ya swala kabla ya Sabato.

No comments:

Post a Comment