Friday, April 1, 2011

VODACOM GOES RED, NI RED COLOUR NOW

Leo ndio siku ambayo kampuni ya Vodacom Tanzania inazindua rangi yake ya logo ya kampuni ambayo mwanzoni ilikuwa ni blue,white and green colour sasa hivi itakuwa ni red colour shughuli hii maalum itafanyika jijini South Africa wakati kwa Tanzania shughuli hiyo inaendelea kwa pati maalum ijulikanayo kama TGIF pale mlimani city ambapo wafanyakazi wa vodacom wanakutana kufurahia uzinduzi wa rangi nyekundu hiyo ya logo ya kampuni hiyo.
Ikumbukwe kuwa rangi nyekundu na nyeupe inatumiwa na kampuni mama ambayo ni Vodafone ya South Africa.
Nikiwa kama mfanyakazi nachukua fursa hii kuipongeza kampuni hiyo ambayo inakuja na mapinduzi makubwa katika nyanja ya mawasiliano na kauli mbiu yetu ambayo ni SPEED,SMPLICITY AND TRUST. BRAVO VODACOM

No comments:

Post a Comment